loading 0%
info@bookingmasr.com | 01003020010

Tanzania kujumuishwa na Trump kwenye nchi zitakazozuiliwa kuingia Marekani (Travel Ban) – RIPOTI |

Tanzania kujumuishwa na Trump kwenye nchi zitakazozuiliwa kuingia Marekani (Travel Ban) – RIPOTIKwa mujibu wa habari iliyoandikwa na shirika la habari la Politico la Marekani, Rais wa nchi hiyo Donald Trump anatarajia kuongeza utaratibu wake wa kuzuia baadhi ya nchi kuingia Marekani, Travel ban kuanzia Jumatatu ijayo ikiwa ni miaka mitatu tangu awamu ya kwanza ya agizo hilo ifanyike ambalo lililenga nchi zenye waislamu wengi.

Orodha ya nchi bado haijawa katika hatua ya mwisho na inaweza kubadilika lakini nchi zinazofikiriwa kuathirika katika kikwazo hicho kipya ni Belarus, Myanmar, Eritrea, Kyrgyzstan, Nigeria, Sudan na Tanzania, kwa mujibu wa watu wawili wenye ufahamu juu ya suala hilo.

source

By : admin Date : Category : Blog Comments : - 29 comments

29 thoughts on “Tanzania kujumuishwa na Trump kwenye nchi zitakazozuiliwa kuingia Marekani (Travel Ban) – RIPOTI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Book with us today and save up to 60% on hotels and flights worldwide.
SEARCH NOW
Translate »